Ezekieli 19:12 BHN

12 Lakini ulingolewa kwa hasiraukatupwa chini ardhini;upepo wa mashariki ukaukausha,matunda yake yakapukutika;matawi yake yenye nguvu yalikaushwa,nao moto ukauteketeza.

Kusoma sura kamili Ezekieli 19

Mtazamo Ezekieli 19:12 katika mazingira