Ezekieli 2:3 BHN

3 akiniambia, “Wewe mtu nakutuma kwa Waisraeli, taifa la waasi ambao wameniasi. Wameendelea kunikosea mimi hadi leo kama walivyokuwa wazee wao.

Kusoma sura kamili Ezekieli 2

Mtazamo Ezekieli 2:3 katika mazingira