Ezekieli 2:6 BHN

6 Lakini, ewe mtu usiwaogope hao wala maneno yao. Hata kama mbigili na miiba vinakuzunguka, au unaketi juu ya nge, usiogope maneno yao wala usitishwe na nyuso zao, kwani hao ni watu waasi.

Kusoma sura kamili Ezekieli 2

Mtazamo Ezekieli 2:6 katika mazingira