Ezekieli 20:1 BHN

1 Mwaka wa saba tangu kuhamishwa kwetu, siku ya kumi ya mwezi wa tano, baadhi ya wazee wa Israeli walikuja kumwuliza Mwenyezi-Mungu shauri, wakaketi mbele yangu.

Kusoma sura kamili Ezekieli 20

Mtazamo Ezekieli 20:1 katika mazingira