Ezekieli 20:18 BHN

18 “Niliwaonya wazawa wao kule jangwani: ‘Msizifuate desturi za wazee wenu, msishike amri zao wala msijitie unajisi kwa kuziabudu sanamu za miungu yao.

Kusoma sura kamili Ezekieli 20

Mtazamo Ezekieli 20:18 katika mazingira