Ezekieli 20:26 BHN

26 Nikawaacha watiwe unajisi kwa tambiko zao za kuwatoa wazaliwa wao wa kwanza kafara kwa sanamu za miungu. Hili lilikuwa pigo lao la adhabu ya kutisha ili watambue kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Ezekieli 20

Mtazamo Ezekieli 20:26 katika mazingira