Ezekieli 20:28 BHN

28 Maana nilipowapeleka katika ile nchi niliyoapa kuwapa, kila walipoona kilima kirefu au miti ya majani mengi, walianza kutoa matambiko na tambiko zao na kunichokoza. Hukohuko walitoa tambiko za harufu nzuri na kumimina tambiko za kinywaji.

Kusoma sura kamili Ezekieli 20

Mtazamo Ezekieli 20:28 katika mazingira