Ezekieli 20:3 BHN

3 “Wewe mtu, sema na hao wazee wa Israeli. Waambie kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Je, mmekuja kuniuliza shauri? Hakika, kama niishivyo mimi Bwana Mwenyezi-Mungu, nasema kuwa sitakubali kuulizwa kitu na nyinyi.

Kusoma sura kamili Ezekieli 20

Mtazamo Ezekieli 20:3 katika mazingira