Ezekieli 20:33 BHN

33 “Kama niishivyo mimi Bwana Mwenyezi-Mungu, naapa kwamba mimi nitawatawala kwa mkono wenye nguvu, kwa ukali na kuwamwagia ghadhabu yangu.

Kusoma sura kamili Ezekieli 20

Mtazamo Ezekieli 20:33 katika mazingira