Ezekieli 20:36 BHN

36 Kama nilivyowahukumu wazee wenu kule jangwani katika nchi ya Misri, ndivyo nitakavyowahukumu nyinyi. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.

Kusoma sura kamili Ezekieli 20

Mtazamo Ezekieli 20:36 katika mazingira