46 “Wewe mtu, geukia upande wa kusini uhubiri dhidi ya nchi ya kusini, dhidi ya wakazi wa msitu wa Negebu.
Kusoma sura kamili Ezekieli 20
Mtazamo Ezekieli 20:46 katika mazingira