Ezekieli 21:12 BHN

12 Wewe mtu, lia na kuombolezaupanga huo umenyoshwa dhidi ya watu wangu,dhidi ya wakuu wote wa Israeli.Wataangamizwa kwa upanga pamoja na watu wangu.Jipige kifua kwa huzuni.

Kusoma sura kamili Ezekieli 21

Mtazamo Ezekieli 21:12 katika mazingira