31 Nitawamwagia ghadhabu yangu. Moto wa ghadhabu yangu nitaupuliza juu yenu. Nitawatia mikononi mwa watu wakatili, watu hodari wa kuangamiza.
Kusoma sura kamili Ezekieli 21
Mtazamo Ezekieli 21:31 katika mazingira