Ezekieli 22:14 BHN

14 Je, utaweza kustahimili kuwa hodari siku nitakapopambana nawe? Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema na nitayatekeleza hayo.

Kusoma sura kamili Ezekieli 22

Mtazamo Ezekieli 22:14 katika mazingira