Ezekieli 22:18 BHN

18 “Wewe mtu! Waisraeli wamekuwa kwangu kama takataka. Wao ni kama takataka inayosalia wakati madini ya shaba, bati, chuma au risasi yanaposafishwa.

Kusoma sura kamili Ezekieli 22

Mtazamo Ezekieli 22:18 katika mazingira