29 Kila mahali nchini ni dhuluma na unyanganyi. Wanawadhulumu maskini na wanyonge, na kuwaonea wageni bila kujali.
Kusoma sura kamili Ezekieli 22
Mtazamo Ezekieli 22:29 katika mazingira