Ezekieli 23:36 BHN

36 Mwenyezi-Mungu aliniambia, “Wewe mtu! Je, uko tayari kuwahukumu Ohola na Oholiba? Basi, watangazie matendo yao ya kuchukiza!

Kusoma sura kamili Ezekieli 23

Mtazamo Ezekieli 23:36 katika mazingira