13 Ewe Yerusalemu, matendo yako machafu yamekutia unajisi. Ingawa nilijaribu kuutakasa, wenyewe ulibaki najisi. Basi, hutatakasika tena mpaka nitakapoitosheleza hasira yangu juu yako.
Kusoma sura kamili Ezekieli 24
Mtazamo Ezekieli 24:13 katika mazingira