Ezekieli 24:2 BHN

2 “Wewe mtu! Andika tarehe ya siku ya leo, maana hii ni siku ambapo mfalme wa Babuloni anaanza kuuzingira mji wa Yerusalemu.

Kusoma sura kamili Ezekieli 24

Mtazamo Ezekieli 24:2 katika mazingira