Ezekieli 24:21 BHN

21 niwaambie nyinyi Waisraeli kwamba Mwenyezi-Mungu ataitia unajisi maskani yake, hiyo nyumba ambayo ni fahari ya ukuu wenu, na ambayo mnafurahi sana kuiona. Nao watoto wenu, wa kiume kwa wa kike, mliowaacha nyuma watauawa kwa upanga.

Kusoma sura kamili Ezekieli 24

Mtazamo Ezekieli 24:21 katika mazingira