Ezekieli 24:27 BHN

27 Siku hiyohiyo, utaacha kuwa bubu, nawe utaweza kuongea naye. Kwa hiyo wewe utakuwa ishara kwao, nao watatambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu.”

Kusoma sura kamili Ezekieli 24

Mtazamo Ezekieli 24:27 katika mazingira