Ezekieli 25:10 BHN

10 Nitaitia nchi hiyo pamoja na nchi ya Amoni mikononi mwa watu wa mashariki iwe mali yao. Nchi ya Moabu haitakuwa taifa tena.

Kusoma sura kamili Ezekieli 25

Mtazamo Ezekieli 25:10 katika mazingira