Ezekieli 26:1 BHN

1 Mnamo siku ya kwanza ya mwezi, mwaka wa kumi na moja tangu kuhamishwa kwetu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia:

Kusoma sura kamili Ezekieli 26

Mtazamo Ezekieli 26:1 katika mazingira