Ezekieli 27:16 BHN

16 Watu wa Edomu walifanya biashara nawe kwa sababu ya wingi wa bidhaa zako. Kwa kupata bidhaa zako walikupa akiki, vitambaa vya urujuani, vitambaa vilivyonakshiwa, kitani safi, matumbawe na yakuti.

Kusoma sura kamili Ezekieli 27

Mtazamo Ezekieli 27:16 katika mazingira