Ezekieli 27:24 BHN

24 Hao walifanya nawe biashara ya mavazi ya fahari, nguo za buluu zilizotariziwa, mazulia ya rangi angavu vifundo na kamba zilizosokotwa imara.

Kusoma sura kamili Ezekieli 27

Mtazamo Ezekieli 27:24 katika mazingira