Ezekieli 29:20 BHN

20 Nimempa nchi ya Misri kuwa ujira wa jasho lake kwa kuwa majeshi yake yalifanya kazi kwa ajili yangu. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.

Kusoma sura kamili Ezekieli 29

Mtazamo Ezekieli 29:20 katika mazingira