11 Nebukadneza mwenyewe pamoja na watu wake,taifa katili kuliko mataifa yote,watatumwa kuiangamiza nchi ya Misri.Watachomoa panga zao dhidi ya Misrina kuijaza nchi hiyo watu waliouawa.
Kusoma sura kamili Ezekieli 30
Mtazamo Ezekieli 30:11 katika mazingira