13 “Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi:Nitaharibu vinyago vya miungu,na kukomesha sanamu mjini Memfisi.Hakutakuwa na mkuu tena huko Misri.Nitasababisha hofu itawale nchini Misri.
Kusoma sura kamili Ezekieli 30
Mtazamo Ezekieli 30:13 katika mazingira