Ezekieli 30:26 BHN

26 nami nitawatawanya Wamisri kati ya mataifa mengine na kuwasambaza katika nchi nyingine. Ndipo watakapotambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu.”

Kusoma sura kamili Ezekieli 30

Mtazamo Ezekieli 30:26 katika mazingira