Ezekieli 30:4 BHN

4 Vita vitazuka dhidi ya Misri,na wasiwasi mkuu utaikumba nchi ya Kushi,wakati Wamisri wengi wataanguka wameuawa,mali zao zitakapochukuliwa,na misingi ya miji yao kubomolewa.

Kusoma sura kamili Ezekieli 30

Mtazamo Ezekieli 30:4 katika mazingira