Ezekieli 30:9 BHN

9 Siku hiyo, nitapeleka wajumbe kwenda kuwatishaWaethiopia wanaojidhani kuwa salama.Watatetemeka siku Misri itakapoangamia.Naam! Kweli siku hiyo yaja!

Kusoma sura kamili Ezekieli 30

Mtazamo Ezekieli 30:9 katika mazingira