Ezekieli 31:12 BHN

12 Watu wa mataifa mengine katili kupindukia, wataukata na kuubwaga chini na kuuacha. Matawi yake yataanguka chini mlimani na kila mahali mabondeni; yatavunjika na kutapakaa chini katika magenge yote. Watu wote wataondoka kivulini mwake na kuuacha.

Kusoma sura kamili Ezekieli 31

Mtazamo Ezekieli 31:12 katika mazingira