Ezekieli 31:16 BHN

16 Niliyafanya mataifa yatetemeke kwa sauti ya kuanguka kwake, naam, wakati nilipouangusha chini kuzimu pamoja nao washukao shimoni kwa wafu nayo miti yote ya Edeni, miti mizuri na ya pekee ya Lebanoni ambayo ilimwagiliwa maji ilifarijiwa huko chini kwa wafu.

Kusoma sura kamili Ezekieli 31

Mtazamo Ezekieli 31:16 katika mazingira