Ezekieli 32:10 BHN

10 Nitayashtusha mataifa mengi kwa habari zako,wafalme wao watatetemeka kwa sababu yako,nitakaponyosha upanga wangu mbele yao.Watatetemeka kila wakati,kila mtu akihofia uhai wake,siku ile ya kuangamia kwako.

Kusoma sura kamili Ezekieli 32

Mtazamo Ezekieli 32:10 katika mazingira