Ezekieli 32:12 BHN

12 Watu wako wengi watauawa kwa mapanga ya mashujaa,watu katili kuliko mataifa yote.Watakomesha kiburi cha Misri na kuwaua watu wako wote.

Kusoma sura kamili Ezekieli 32

Mtazamo Ezekieli 32:12 katika mazingira