Ezekieli 32:2 BHN

2 “Wewe mtu! Imba utenzi wa kuomboleza juu ya Farao, mfalme wa Misri.Wewe Farao unajiona kuwa simba kati ya mataifa,lakini wewe ni kama mamba tu majini:Unachomoka kwa nguvu kwenye mito yako,wayavuruga maji kwa miguu yako,na kuichafua mito.

Kusoma sura kamili Ezekieli 32

Mtazamo Ezekieli 32:2 katika mazingira