Ezekieli 32:23 BHN

23 na makaburi yao yako sehemu za chini kabisa shimoni kwa wafu. Wanajeshi wao wote waliuawa vitani na makaburi yao yamewazunguka. Hapo awali, walipokuwa wanaishi bado, walieneza vitisho vyao katika nchi ya walio hai.

Kusoma sura kamili Ezekieli 32

Mtazamo Ezekieli 32:23 katika mazingira