Ezekieli 32:26 BHN

26 “Watu wa Mesheki na wa Tabali wote wako huko, wamezungukwa na makaburi ya wanajeshi wao. Watu hao wote wasiomjua Mungu walikufa vitani, watu ambao walipokuwa hai walieneza vitisho vyao katika nchi ya walio hai.

Kusoma sura kamili Ezekieli 32

Mtazamo Ezekieli 32:26 katika mazingira