Ezekieli 32:28 BHN

28 Basi, nyinyi Wamisri mtaangamizwa na kulazwa miongoni mwa wasiomjua Mungu waliouawa vitani.

Kusoma sura kamili Ezekieli 32

Mtazamo Ezekieli 32:28 katika mazingira