Ezekieli 32:7 BHN

7 Nitakapokuangamiza, nitazifunika mbingu,nitazifanya nyota kuwa nyeusi,jua nitalifunika kwa mawingu,na mwezi hautatoa mwangaza wake.

Kusoma sura kamili Ezekieli 32

Mtazamo Ezekieli 32:7 katika mazingira