Ezekieli 33:26 BHN

26 Mnategemea silaha zenu, mnafanya mambo ya kuchukiza na kila mwanamume miongoni mwenu anatembea na mke wa jirani yake! Je, mnadhani mtapewa nchi hii iwe yenu?

Kusoma sura kamili Ezekieli 33

Mtazamo Ezekieli 33:26 katika mazingira