Ezekieli 33:30 BHN

30 Mwenyezi-Mungu aliniambia, “Wewe mtu! Wananchi wenzako wanazungumza juu yako, wameketi kutani na milangoni mwa nyumba zao na kuambiana: ‘Haya! Twende tukasikie neno alilosema Mwenyezi-Mungu!’

Kusoma sura kamili Ezekieli 33

Mtazamo Ezekieli 33:30 katika mazingira