Ezekieli 33:32 BHN

32 Kwao, wewe umekuwa tu kama mwimbaji wa kutumbuiza mwenye sauti nzuri ikiandamana na muziki safi! Wanayasikia yale unayosema, lakini hawatekelezi hata mojawapo.

Kusoma sura kamili Ezekieli 33

Mtazamo Ezekieli 33:32 katika mazingira