Ezekieli 33:4 BHN

4 Mtu akisikia sauti ya tarumbeta lakini akapuuza onyo hilo, maadui wakaja na kumuua, yeye mwenyewe atawajibika kwa kifo chake.

Kusoma sura kamili Ezekieli 33

Mtazamo Ezekieli 33:4 katika mazingira