Ezekieli 34:16 BHN

16 Kondoo waliopotea nitawatafuta na waliotangatanga nitawarudisha nyumbani. Waliojeruhiwa nitawatibu, na wale walio dhaifu nitawapa nguvu. Kondoo wanono na wenye nguvu nitawaangamiza. Mimi nitawachunga kondoo kama itakiwavyo.

Kusoma sura kamili Ezekieli 34

Mtazamo Ezekieli 34:16 katika mazingira