Ezekieli 34:6 BHN

6 Naam, kondoo wangu walitawanywa, wakatangatanga milimani na vilimani. Kondoo walisambazwa duniani kote, na hapakuwa na mtu aliyejali juu yao wala kuwatafuta.

Kusoma sura kamili Ezekieli 34

Mtazamo Ezekieli 34:6 katika mazingira