Ezekieli 35:10 BHN

10 “Wewe ulisema ya kwamba mataifa hayo mawili yaani Yuda na Israeli ni mali yako na kwamba utazimiliki! Ulisema hivyo ingawa humo ni makao yangu mimi Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Ezekieli 35

Mtazamo Ezekieli 35:10 katika mazingira