Ezekieli 36:15 BHN

15 Sitaruhusu tena mataifa yawatukane, wala kuwadharau tena. Hamtasababisha taifa lenu likose. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.”

Kusoma sura kamili Ezekieli 36

Mtazamo Ezekieli 36:15 katika mazingira