Ezekieli 36:22 BHN

22 Basi, waambie Waisraeli kwamba mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Ninachotaka kufanya si kwa faida yenu nyinyi watu wa Israeli, bali ni kwa heshima ya jina langu takatifu mlilolikufuru miongoni mwa mataifa mlikokwenda.

Kusoma sura kamili Ezekieli 36

Mtazamo Ezekieli 36:22 katika mazingira