24 Nitawaondoa nyinyi katika kila taifa na kuwakusanya kutoka nchi zote za kigeni; nitawarudisha katika nchi yenu wenyewe.
Kusoma sura kamili Ezekieli 36
Mtazamo Ezekieli 36:24 katika mazingira